All available HYMN SONGS.
Bwana mungu nakuomba sasa, unifanya kuwa kama upendavyo. Maana wewe ni muweza wa yote , Unifanye kuwa kama upendavyo. Nifinyange' nifinyange Unifanye kuwa kama upendavyo. Niongo-ze.... Nibari-ki... Unili-nde...
No comments:
Post a Comment